Ukisha kumaliza kula chakula tafadhali usifanye haya mambo 7 ni hatari kwa afya yako

Ukisha kumaliza kula chakula tafadhali usifanye haya mambo 7 ni hatari kwa afya yako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
attachment.php

1. Don't smoke (Usivute Sigara) Experiments from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher)

2. Don't eat fruits immediately (Usile Matunda) Immediately eating fruits after meals will cause stomach to be bloated with air. There fore take fruits 1 -2 hours after meal or 1 hour before meal.

3. Don't drink tea (Usinywe Chai) Because tea leaves contain a high content of acid. This substance will cause the protein content in the food we consume to be hundred thus difficult to digest.

4. Don't loosen your belt (Usiregeze Mkanda wa Suruali yako) Loosening the belt after meal will easily cause the intestine to be twisted and blocked.

5. Don't bath (Usioge) Bathing after meal will cause the increase of blood flow to the hands, legs and body thus the amount of blood around the stomach will therefore decrease, this will weaken the digestive system in our stomach.

6. Don't walk about (Usitembee Tembee) People always say that after a meal walk a hundred steps and you will live till 99. In actual fact this is not true. Walking will cause the digestive system to be unable to absorb the nutrition from the food we intake.

7. Don't sleep immediately (Usilale) The food we intake will not be to digest properly. Thus will lead to gastric and infection in our intestine.

CHAKULA CHA USIKU.jpg
 
Asante mkuu kwa hizi afya tips ila me namba 2 na 7 pamoja nakuzifahamu, nimezoea sana. Ntajitahidi ni badili style za after meal. Pamoja sana.
 
Mkuu hiyo namba 2 kuna matunda mengine sie hutumia kama mboga mfano parachichi linatumika pamoja na chakula kv ugali .Nisaidie hapo.
 
Mie naona sasa hii dunia ni mchanganyiko wa mambo yaani kila kitu huyu anasema hiki huyu kile! Siku zote nimekuwa nikifanya mambo vile mwili unataka kama kufa mapema wacha nife sababu siwezi nyima mwili ile kitu inapenda...nikijisikia kunywa maji nitakunywa bila kujali muda gani ili mradi najisikia kufanya hivyo its ok...naamini nguzo kubwa ya uhai wangu ni kile ninachoamini mimi na si maono na mitazamo ya watu wengine...tusiwe wepesi wa kuamini kila tusomacho kwenye mitandao.
 
Mkuu hiyo namba 2 kuna matunda mengine sie hutumia kama mboga mfano parachichi linatumika pamoja na chakula kv ugali .Nisaidie hapo.
Mkuu Negembo Unatakiwa ule matunda kabla ya kula chakula au baada ya kula chakula ipite masaa 2 ndio waweza kula Maatunda . ila unaweza kutengeneza salata ukala pamoja na chakula lakini ukimaliza kula usile matunda mpaka ipite masaa 2 ndio umeruhusiwa kula matunda kwa afya yako hiyo.
 
Mie naona sasa hii dunia ni mchanganyiko wa mambo yaani kila kitu huyu anasema hiki huyu kile! Siku zote nimekuwa nikifanya mambo vile mwili unataka kama kufa mapema wacha nife sababu siwezi nyima mwili ile kitu inapenda...nikijisikia kunywa maji nitakunywa bila kujali muda gani ili mradi najisikia kufanya hivyo its ok...naamini nguzo kubwa ya uhai wangu ni kile ninachoamini mimi na si maono na mitazamo ya watu wengine...tusiwe wepesi wa kuamini kila tusomacho kwenye mitandao.
Mkuu enhe hakuna kitu duniani muhimu kwa binadamu kama ni Afya yako jichunge sana kuhusu Afya yako. Hakuna mahali Duka linalo uza afya ya Mtu?

Ukiumwa ndio hivyo tena unalichungulia kaburi kama afya yako ni mbovu, kitu bora kwako ni kuchunga afya yako

Mkuu, pesa utatafuta utapata lakini afya unaweza kuitafuta wapi ukaipata? kuna mahali kuna duka la kuuza afya

ya mtu? Mke utakuwa nao hata ukitaka wake 1000 utapata je wapi afya ya binadamu inapatikana? Utajiri

ukiutafuta Mungu atakupa Je wapi unaweza kutafuta afya yako? Jibu hakuna kwa hiyo hakuna kitu bora kwa

binadamu kama afya yako jichunge na afya yako utaishi maisha ya raha mustarehe.
 
Last edited by a moderator:
Thank you for your health tips. I've discovered that I always go against those rules. All in all, I'll make sure that I start complying with them to be healthy enough.
 
Mkuu enhe hakuna kitu duniani muhimu kwa binadamu kama ni Afya yako jichunge sana kuhusu Afya yako. Hakuna mahali Duka linalo uza afya ya Mtu?

Ukiumwa ndio hivyo tena unalichungulia kaburi kama afya yako ni mbovu, kitu bora kwako ni kuchunga afya yako

Mkuu, pesa utatafuta utapata lakini afya unaweza kuitafuta wapi ukaipata? kuna mahali kuna duka la kuuza afya

ya mtu? Mke utakuwa nao hata ukitaka wake 1000 utapata je wapi afya ya binadamu inapatikana? Utajiri

ukiutafuta Mungu atakupa Je wapi unaweza kutafuta afya yako? Jibu hakuna kwa hiyo hakuna kitu bora kwa

binadamu kama afya yako jichunge na afya yako utaishi maisha ya raha mustarehe.

you're right lkn si kila kitu ni kweli mkuu...miili yetu inatenda kazi kutokana na mazingira tunayoishi. Health tips nyingi zimekuwa za kimagharibi mno na ninaamini zote si za kweli.
 
Last edited by a moderator:
Maji vipi mkuu?dokta ndodi anaipinga sana hii
 
Karibia namba zote zinanigusa hapa ni kubadilika kwa afya zaidi
 
Unataka uishi miaka mingi wewe kobe? Utawapa shida watoto wajukuu zako kukutoa nje kukuanika kila siku. Ishi miaka 70 ya Mungu na bonus isiyozidi miaka 7-10-ondoka acha gap kwa wengine! Serikali lenyewe hili halijali wazee!
 
Back
Top Bottom