Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Maandiko yenye mafumbo kuyaelewa ni kazi nzito.HUU NI UPUMBAVU.
HAPO KUNA SKILLS GANI ZA VETA ZITUMIKE?
KWAHIYO VETA WANA KOZI YA KUFUNDISHA WATU KUTOA GARI LILILOKWAMA KWENYE TOPE?
HIVI WAJINGA WA NCHI MMEKUAJE?
Watanzania tunasoma kupata vyeti tuuuu. Mambo ya kuelimika au kusoma na kuelewa kwa ufasaha siyo muhimu kwetu.HUU NI UPUMBAVU.
HAPO KUNA SKILLS GANI ZA VETA ZITUMIKE?
KWAHIYO VETA WANA KOZI YA KUFUNDISHA WATU KUTOA GARI LILILOKWAMA KWENYE TOPE?
HIVI WAJINGA WA NCHI MMEKUAJE?
Weka PDF yake tusomeUkishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa.
View attachment 3292610
Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza.
Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka Ili kuvuta gari .
Lakini hata wewe ukiwa ndio boss lazma uingie kwenye tope kusukuma gari.
Kuna maeneo porini yanahitaji nguvu, uzoefu na ushirikiano Ili kutoboa.
Bila kujali vyeo .
Hapa hata wageni Huwa wanashuka kusaidia kutoka kwenye korongo.
Karibuni tusome hiki kitabu:
View attachment 3292611
Sio wote.Watanzania tunasoma kupata vyeti tuuuu. Mambo ya kuelimika au kusoma na kuelewa kwa ufasaha siyo muhimu kwetu.
Cha maana ni kujenga miundombinu barabara zipitike, sio kupeleka watu wenye PhD VETA wakasomee kuingia uvunguni mwa gari kulikwamua kwenye tope.Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa.
View attachment 3292610
Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza.
Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka Ili kuvuta gari .
Lakini hata wewe ukiwa ndio boss lazma uingie kwenye tope kusukuma gari.
Kuna maeneo porini yanahitaji nguvu, uzoefu na ushirikiano Ili kutoboa.
Bila kujali vyeo .
Hapa hata wageni Huwa wanashuka kusaidia kutoka kwenye korongo.
Karibuni tusome hiki kitabu:
View attachment 3292611
Hapa umechagua tu kuficha madhaifu ya serikali inayokusanya mamilioni ya fedha kwenye utalii, na pia kodi na tozo mbalimbali! Halafu inashindwa kuboresha miundombinu, ikiwemo hiyo ya barabara.Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa.
View attachment 3292610
Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza.
Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka Ili kuvuta gari .
Lakini hata wewe ukiwa ndio boss lazma uingie kwenye tope kusukuma gari.
Kuna maeneo porini yanahitaji nguvu, uzoefu na ushirikiano Ili kutoboa.
Bila kujali vyeo .
Hapa hata wageni Huwa wanashuka kusaidia kutoka kwenye korongo.
Karibuni tusome hiki kitabu:
View attachment 3292611
Ushamuona PHD kupanda ktk darini nyumba yako inapopata hitlafu ya umeme? Au VETA ndio anaekuja? Jee VETA kuna kozi ya kupanda darini?HUU NI UPUMBAVU.
HAPO KUNA SKILLS GANI ZA VETA ZITUMIKE?
KWAHIYO VETA WANA KOZI YA KUFUNDISHA WATU KUTOA GARI LILILOKWAMA KWENYE TOPE?
HIVI WAJINGA WA NCHI MMEKUAJE?
Igweeeeeeeeeeee 🫡Tatizo sio cheti au hizo tunuku za Bachelor, Masters, CPA au PHD.... tatizo ni kuziamini na kuziona kama mali wakati hata zilikotoka hakuna hadhi hiyo....kiufupi ni majina makubwa na makaratasi yaliyopewa thamani machoni pa wajinga. Badala watafute maarifa wanatafuta kuonekana!
KUNA MAFUMBO GANI HAPO?Maandiko yenye mafumbo kuyaelewa ni kazi nzito.