cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nipoo.Upo binti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipoo.Upo binti?
Uko sahihi sana mkuu,hadi sisi wa Kayumba tumeelewa
Nailed it!!Sifa za mwanaJF
1. Wote humu ni wasomi. Graduates wa UDSM, SUA na MUHAS ni wengi zaidi.
2. Kila mtu humu ni kipanga. Wote tulifanya vizuri shuleni. Kila mtu ana A ya Physics hata kama aliamua kusoma HKL.
3. MwanaJF ni mtu mwenye hela. Mishahara na biashara kubwa.
4. Hakuna mwenye tatizo la nguvu za kiume. Afya ziko imara.
5. Hakuna mwanaJF ambaye hajawahi kusafiri nchi za nje. Airports kubwa kubwa zote tumefika.
6. Hakuna aliye tayari kuoa single mother.
7. Wote tuna upeo mkubwa kwenye mambo ya siasa.
8. Kila mwanaJF ni jasusi hata kama hayupo kwenye kitengo. Humu kuna nyuzi za utabiri wa mambo makubwa na yakatokea.