livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 967
- Thread starter
- #41
Mkuu hii ishu jamaa jana jioni kamwita bidada kamweleza kila kitu na kumuonesha baadhi ya uthibitisho. Binti amelia sana usiku kwa mujibu wa maelezo ya jamaa...akarudi kwao.Ni heri na bahati kubwa kwake hilo kalijua mapema, asipoteze muda hata Kama anampenda kiasi gani huyo manzi wake, apige chini huku akiwa amejipanga vyema. Ni mhanga wa mambo hayo, na yamenitesa zaidi ya miaka mitatu...
Leo asubuhi binti ametuma sms kwa jamaa na kumwambia ameamua kuhama mkoa na simu amezima na hakusema anaenda wapi. Hapa ndio jamaa amebaki ameduwaa tu.