“Ukiwa too available, wanakuona kama toy. Ukiwa too loyal, wanakucheat. Ukiwa mkweli sana, wanakuchoka. So unajikuta unajiuliza: should I even love at all? But jibu si kuacha kupenda, jibu ni kupenda kwa akili. Be smart with your heart. Usimwambie mtu kila siku "nakupenda", mpe love ya vitendo, lakini achia kiasi. Jitunze, jiamini, jithamini. Usiweke feelings zako kwa mtu ambaye hajui hata kuthamini feelings zake mwenyewe.”
Hapa umemaliza kabisa.