Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
- #21
Mpe mtu hicho kisimbuzi chako halafu akifika huko aendako akichakachue kiwe na uwezo wa kushika mpaka channel za dstv, halafu kishtukiwe ndio utajua kama hicho kisimbuzi ni chako kweli au kina wenyewe. Utashtakiwa na mtafungwa wote kwa kosa la kula njama za kuibia kampuni husika(dstv/azam), soma mikataba iliyopo utajua kuwa wewe ni mpangaji aka mkodishaji tu, huna chako. Si line ya simu, si king'amuzi.
Wewe tatizo lako naona ni shule ndogo.
Ukichakachua uache kushtakiwa, au kunasehem nimesema unaweza chakachua.
Nilichongundua una hakili za panzi! Unauwezo mdogo kuchambua hoja. Unauelewa mdogo, elimu yako ni ndogo. Eti