Ukishaoa au kuolewa Ukweni panakuwa Kwenu

Ukishaoa au kuolewa Ukweni panakuwa Kwenu

Mkuu tutafutie Kwa ufupi na somo la expectation( before marriage) Vs reality (ndani ya ndoa) tujue mambo angalau yaliyopo ndani ya ndoa kidogo expectation tunazo.
Subiri uingie kwenye uhalisia sasa rafiki,lakini kwa uchache asemayo ni kweli, ukweni ni nyumbani hata hivyo lazima kuwe na mipaka/sababu ya kukufikisha nyumbani.
 
Back
Top Bottom