Ukishaona rais Tanzania anaapishwa halafu baada ya hapo hana mpango wowote na katiba mpya huyo si mzalendo

Kkimondoa
Usijidanganye! huitaji rais tu kuwa mzalendo bali taasisi nzima ya serikali jeshi,mahakama,bunge,wafanyakazi mpk wananchi wote kiujumla.. katiba ndo sheria ya nchi inayotakiwa kufatwa kwa manufaa ya taifa zima.. lkn nini kama hakuna wazalendo wakuifuata..? bila kuwa na wazalendo ktk sekta kubwa za serikali ni sawa na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa mambo yatapindishwa hovyo..
hii katiba tu tunayoiyona ni mbaya je ni mambo mangapi yamepindishwa humo na watu wanahangaika! kama kughushi vyeti ni jambo baya wangapi wameghushi na wanajua ni vibaya..?
maneno yanaweza kuandikwa na yasifuatwe hata wanaosimamia wakawa ndo walanguzi wakwanza!
tunahitaji watu kadhaa serikalini ktk sekta muhimu zote ili tuonje iyo raha ya uzalendo wao ndo watuundie na katiba itakayosimamiwa kizalendo bila kujali tajiri wala maskini.
wala haihitaji coz kuelewa
 
Hoja yangu ni katiba kwanza sijazungumzia uzalendo wa mmoja mmoja na waweza kuta katiba mbovu ndicho chanzo cha kukosekana uzalendo maana dhana ya uzalendo ni kubwa sana sana na ndio maana china kutokana na katiba yao wameweza ku explore rasilimali watu iliyopo,

swala la uzalendo kwanza linaanza na mfumo mzuri wa serikali ambao unatengenezwa kwa mujibu wa maelekezo ya katiba husika maana katiba pia itatoa mwongozo wa namna gani hata huyo msimamiz wa huo uzalendo anapatikana,huwezi weka mtu kwenye madaraka eti kisa tu alikuwa anakupigia debe uingie madarakani hata kama hana sifa wala skills za uongozi ,

nadhani lile jibu la waziri kuwa kuna viongozi wakubwa kabisa kiuongozi na wana mamlaka makubwa kabisa yakimaamuzi lakin kikatiba wanatakiwa wajue tu kusoma na kuandika laaah!!! Wakati tunajua kabisa shule si tu kupata high pass mark bali hata ile sicialization tu inakufungua akili kwa kiasi kikubwa sana. KATIBA BORA NI MUHIMU SANA MAANA NI KIONGOZ HATA CHA HAO UNAO TAKA WAWE WAZALENDO
 
Back
Top Bottom