Ukishindwa kupata njia za kupata pesa ukiwa umelala ujue utafanya kazi mpaka unakufa

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Jaman kuna jambo tunapaswa kulitambua kuhusu maisha

usiku syo muda wa kufanya mapenzi ni mda wa kufikilia kupata pesa kusudi ukiamka hasubui njia uzifanyie kazi

ila sisi wabongo hatujui hilo ushauli wangu TUMIA USIKU KUWAZA MAENDELEO NA SYO KUFANYA MAPENZI
 
SWAHIBA TUKIFIKIRIA PESA TU TUTAZAANA VIPI???HIZO PESA UNAMTAFUTIA NANI SASA KAMA HUTAFUTI WATOTO!!!!WATOTO WANAPATIKANA VIPI SASA KAMA HUFANYI MAPENZI.BAADA YA KAZI UNABURUDIKA NA MAPENZI PESA ZIPO TU
 
mwanamke.kapewa nyuso na mungu anatoa anaweka zake ww utamweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…