Ukishindwa kupata njia za kupata pesa ukiwa umelala ujue utafanya kazi mpaka unakufa

Ukishindwa kupata njia za kupata pesa ukiwa umelala ujue utafanya kazi mpaka unakufa

Ww unaewaza pesa ucku hadi leo una billion ngapi? Pumbafu sana wabongo niache kulala niwaze pesa. Mtu akikosa usingizi huenda hospital kupata dawa ni ugonjwa ukikosa pesa nn kinadhurika? Baba yako angewaza pesa mmmmmmh ntaharibu sasa
 
Back
Top Bottom