Wasudi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 226 Reaction score 223 Jun 14, 2017 #41 Ww unaewaza pesa ucku hadi leo una billion ngapi? Pumbafu sana wabongo niache kulala niwaze pesa. Mtu akikosa usingizi huenda hospital kupata dawa ni ugonjwa ukikosa pesa nn kinadhurika? Baba yako angewaza pesa mmmmmmh ntaharibu sasa
Ww unaewaza pesa ucku hadi leo una billion ngapi? Pumbafu sana wabongo niache kulala niwaze pesa. Mtu akikosa usingizi huenda hospital kupata dawa ni ugonjwa ukikosa pesa nn kinadhurika? Baba yako angewaza pesa mmmmmmh ntaharibu sasa
Goodmsoka Senior Member Joined Apr 1, 2015 Posts 161 Reaction score 53 Jun 15, 2017 #42 Mtoa post ni kweli kabisa nashukuru mungu nimefaulu kwa ilo