Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,771 Reaction score 10,311 Aug 10, 2025 #1 Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa litoke hapa lilipo na kusonga mbele.
Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa litoke hapa lilipo na kusonga mbele.