Ukisikia Anakwambia eti Baby nimekumisi, My Friend Watch Your Pocket

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu.

Atakutafutia sababu tu akupate.

Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa zako baada ya kuona umejikalia kimya.

Watch your Money usija kubaki unalaumu serikali kwa maisha magumu
 
Na wewe ukimwambia ummemiss, unakuwa umemiss nini hasa hasa?
 
Back
Top Bottom