Ukisikia Anakwambia eti Baby nimekumisi, My Friend Watch Your Pocket

Ukisikia Anakwambia eti Baby nimekumisi, My Friend Watch Your Pocket

More of brutal than fairness
She'll leave you if lose your job, or become broke

So you as well should leave her if she's billing you

Before you send a woman money, always remember that she has at least 10 simps in her dms willing to send her money

Be ruthless when it comes to billing
 
Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu.

Atakutafutia sababu tu akupate.

Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa zako baada ya kuona umejikalia kimya.

Watch your Money usija kubaki unalaumu serikali kwa maisha magumu
Tafuta hela fukara wewe
 
Na kwa nini akuambie amekumiss wakati huu wa mfungo na sio mke wako, atakuwa na lake jambo zaidi🤧 watch your health
 
Una hoja wakupuuze wakipenda!
Nimekumiss huwa ni nyingi sana ikikaribia tarehe 23,15,au mwisho wa mwezi kabisa..
Hao raia ni wajanja mno tuishi nao kwa akili..
 
Back
Top Bottom