🙂🙂🙂🙂 Magu nishidaJuzi nilitumiwa msg na mchepuko anasema eti 'simu yangu mbovu' nkampotezea mpk Leo sijamjibu kitu.chezea magu..!
Mbona nyie huwa mnauliza tunajishugulisha na nini au na nyie ni mario mnataka kutupiga mizinga? na sisi tutawaambia ni ma housegirl. Mkiulizwa kazi tu mnawaza kuombwa hela tuu. Je kama we ni jambazi au drugdealer buba mapolisi hawa hapa. Saa nyingine mnaombwa hela mnapimwa maana wimbi la mario linazidi kuongezeka. Nani anaetaka kuwa na mario usawa huu.Tena ukisikia unaulizwa unafanya kazi gani yaani hapo kaa mbali naye au mwambie mimi ni mfagia barabara
Nilushie vocha...Unafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa
Unakuja na gari?
Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal
Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi
Unaweza nisaidia hela ya saloon?
Naomba unikope hela ntakurudishia baada ya siku 2
nadaiwa ada mwenzio
natamani kuja ila sina nauli
Mwenzio na njaa sijakula
Simu yangu mbovu
Ndio kima cha chini kilichoidhinishwa na bodi ya wapiga mizinga.Bebi naomba elfu 30 nikatengeneze nywele.....
Hivi hiyo elfu 30 ndo standard au....?
Usipo yazingatia hayo ndo utaulizwa,hutoe huduma asamie nifanyeje.be care boysUnafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa
Unakuja na gari?
Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal
Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi
Unaweza nisaidia hela ya saloon?
Naomba unikope hela ntakurudishia baada ya siku 2
nadaiwa ada mwenzio
natamani kuja ila sina nauli
Mwenzio na njaa sijakula
Simu yangu mbovu
Usipo yazingatia hayo ndo utaulizwa,hutoe huduma asamie nifanyeje.be care boys
mi nasemaga bado ishu zinazingua ...kumbe daily nipo jobTena ukisikia unaulizwa unafanya kazi gani yaani hapo kaa mbali naye au mwambie mimi ni mfagia barabara