eddy lugongo
Member
- Sep 13, 2014
- 63
- 21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena ukisikia unaulizwa unafanya kazi gani yaani hapo kaa mbali naye au mwambie mimi ni mfagia barabara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena ukisikia unaulizwa unafanya kazi gani yaani hapo kaa mbali naye au mwambie mimi ni mfagia barabara
Sio uogaAcheni uoga vijana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti marioMbona nyie huwa mnauliza tunajishugulisha na nini au na nyie ni mario mnataka kutupiga mizinga? na sisi tutawaambia ni ma housegirl. Mkiulizwa kazi tu mnawaza kuombwa hela tuu. Je kama we ni jambazi au drugdealer buba mapolisi hawa hapa. Saa nyingine mnaombwa hela mnapimwa maana wimbi la mario linazidi kuongezeka. Nani anaetaka kuwa na mario usawa huu.
Miss yaaaAiseee...Nashukuru Mungu sijaomba nishapewaa
Mambo yakoje?Mi too mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mgambile amchemshile ndulaBebii shangazi mkaza mjomba anaumwa.
Braza hata (usa baby) huwa wanaomba elf 30......duhBebi naomba elfu 30 nikatengeneze nywele.....
Hivi hiyo elfu 30 ndo standard au....?
Hahaaaaa you made my day bosshawa watu ni wataalamu sana,mmoja Jana kanipiga kizinga kimazingara sana....kafunua funua mapaja pale,kajinyonga nyonga pale,kanionyesha magego weee,kajibaraguza weee mwisho wa ramli hii matata akanichomoa misimbazi kadhaa.Yani mpaka leo asubuhi nimejisikia aibu kutoa sadaka kidogo wakati wa jumuiya....
Basi tu.
Mkuu, nimecheka sana aisee!Baby uko wapi? nimekumiss! halafu baby.... mhhhhhh. yaaani, ok, tutaweza kuonana leo? yaani ni hamu ya kunywa savannah lakini sina hela, nirushiiiiieeeeee jamani ai wewewewwwwweeee
Life lDear nimeona iPhone 7 nzuri hiyooo
Dear nimeona iPhone 7 nzuri hiyooo