Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

Mbona nyie huwa mnauliza tunajishugulisha na nini au na nyie ni mario mnataka kutupiga mizinga? na sisi tutawaambia ni ma housegirl. Mkiulizwa kazi tu mnawaza kuombwa hela tuu. Je kama we ni jambazi au drugdealer buba mapolisi hawa hapa. Saa nyingine mnaombwa hela mnapimwa maana wimbi la mario linazidi kuongezeka. Nani anaetaka kuwa na mario usawa huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mario
 
Aiseee...Nashukuru Mungu sijaomba nishapewaa
 
mimi tatizo siyo kutoa hela ila tatizo ni pale unapogundua mpo zaid ya kumi mnapigwa mizinga na kila mtu anamega kwa wakati wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waacheni dada zetu bhn..wasipoomba nani atawapa
 
hawa watu ni wataalamu sana,mmoja Jana kanipiga kizinga kimazingara sana....kafunua funua mapaja pale,kajinyonga nyonga pale,kanionyesha magego weee,kajibaraguza weee mwisho wa ramli hii matata akanichomoa misimbazi kadhaa.Yani mpaka leo asubuhi nimejisikia aibu kutoa sadaka kidogo wakati wa jumuiya....
Basi tu.
Hahaaaaa you made my day boss
 
Bebi si unajua nacheza mchezo sasa sijalipa toka wiki iliyopita, niazime laki nitakurudishia....
NB: ukijidai una huruma ukatuma kaka hurudishiwi, mm nilishadhulumiwa laki 7 na mke wa mtu nampigia kudai hela anampa simu mumewe ikabidi nizuge wrong number.
 
Back
Top Bottom