Ukisikia laana iliotukuka ndio hii!

Ukisikia laana iliotukuka ndio hii!

Hajaaar, tumia akili unaposoma kitu na uelewe maana yake sio unatoka kwenye uungwana na kuhamaki.
 
Hawa ni waislamu na wanatuletea laana na matatizo iliyotukuka. Yaani was ndio wameruhusu ndoa za jinsia moja na mauaji makubwa makubwa duniani kama vita kwanza ya dunia ni wao vita ya pili ya dunia ni wao Hitler alikuwa muislamu Mousolini muislamu mabomu ya nuklia yaliyopigwa Hiroshima ni wao wana laana🤣🤣🤣🤣🤣
1. Nchi gani ya kiislam ambayo imeruhusu ndoa ya jinsia moja?
2. Umesoma history vizuri ili kufahamu chanzo cha world war 1&2 ?
3. Nenda Ka-google upate kumjua Adolph Hitler
Halafu elewa pia tabia mbaya ya mtu mmoja haiwezi kuwa ya familia au jamii nzima, mfano kama wewe( ashakum si matusi )familia yenu kama yupo mwanaume shoga hatuwezi kuwahukumu kuwa nyie wote ni mashoga tutakuwa hatuwatendei haki!
 
Sawa nakubali. Tujiulize kwa nini mataifa ya magharibi yanaupaka matope Uislamu kwa sababu tu ya makundi ya kigaidi yanayopingana na sera za kimagharibi yanaitwa ya Kiislamu? Na hawa wanaoleta machafu duniani nao tuwahukumu kwa asili yao na imani yao au kwa majina yao yenye muelekeo wa imani fulani. Hayo maovu niliyoyataja yanayotendwa au yaliyotendwa Je? yalitendwa na Waislamu??? Mbona hawajaitwa kwa imani yao ????? TAFAKARI
 
Ahsante kwa maelezo yako maana umekubali hoja yangu, shukrani!
 
Muda mwingine uwe unatumia ubongo kufikiri sio hayo makalio . Hivi mpaka sasa unaamini hizo propaganda zao
 
Ahsante kwa maelezo yako maana umekubali hoja yangu, shukrani!
Hoja yako nimeikubali kwa sababu ya ujuha wako maelezo yangu ni mwenye akili tu ndio ataelewa lakini wajinga wajinga na mazuzu wasiojielewa ndio kama wewe na wenzio mnaojibu kijinga jinga
 
Back
Top Bottom