N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
STUKA! Maneno haya yanaweza kukuelekeza kwenye biashara ya bidhaa feki
Ukisikia muuzaji akitumia maneno kama:
“Makwaliti”
“Matelephone”
“Original kabisa”
“Dubai”
“Grade A”
“Masaiti”
“Boss Kweza”
“Kama Kariakoo”
…au anazungusha maneno mengi sana huku akiweka vispika vile vya kurekodi na mabango kila sehemu ya mji (mfano “Kanyuma viwanja” "Boss Shusha Viwanja"), kaa chonjo sana.
Hizi ni ishara za watu wanaojaribu kukuuzia bidhaa feki.
Kununua bidhaa feki si suala la umaskini.
Ni suala la uamuzi.
Kwa zama tulizonazo, ukinunua feki umeamua kununua feki.
Fanya utafiti wa kila kitu unachotaka kununua.
Linganisha bei, angalia sifa halisi, wasiliana na watu waliokwisha nunua, na usikubali shinikizo la maneno matamu.
Okoa afya yako.
Okoa fedha zako.
Okoa uchumi wetu.
Kataa bidhaa feki!