Kumbe 🤣🤣Pole sana! Ina maana hukuwa ukijua warranty ya Kariakoo huwa inaishia pale unapogeuza mgongo kuondoka dukani?
Hahah...Ukisikia maneno kama “Makwaliti,” “matelephone,” “original kabisa,” “Dubai,” “Grade A” na mengine ya aina hiyo, usidanganyike sana au "Kama Kariakoo" 😂
Kibongobongo, ukisikia muuzaji anazungusha maneno mengi badala ya kusema brand, model, serial number na warranty, elewa tu kuna uwezekano mkubwa unauziwa bidhaa feki au copy.
Kalaga baho shauri ya bima nilikwambia lakini kauziwa mchina eti iphone
Simu imejaa ubora. Simu inawezaje kujaa ubora?Ukisikia maneno kama “Makwaliti,” “matelephone,” “original kabisa,” “Dubai,” “Grade A” na mengine ya aina hiyo, usidanganyike sana au "Kama Kariakoo" 😂
Kibongobongo, ukisikia muuzaji anazungusha maneno mengi badala ya kusema brand, model, serial number na warranty, elewa tu kuna uwezekano mkubwa unauziwa bidhaa feki au copy.
Kalaga baho shauri ya bima nilikwambia lakini kauziwa mchina eti iphone
Waswahili janjajanja nyingi sana sie nadhani baada ya wanaija kwenye hili bara waswahili wa bongo tunafuatia kwa ujanjajanjaSimu imejaa ubora. Simu inawezaje kujaa ubora?
Simu ina ujazo wa 4×4(four by four)kama the late Jenerali Defao!Wizi mtupu!Simu imejaa ubora. Simu inawezaje kujaa ubora?
😆 😆😆 Daah nimefurahi aiseeh, watanzania wengi wanapenda mteremko.Simu ina ujazo wa 4×4(four by four)kama the late Jenerali Defao!Wizi mtupu!
Simu ina 4 wheel drive, inaenda off road gani?Simu ina ujazo wa 4×4(four by four)kama the late Jenerali Defao!Wizi mtupu!
Jamaa huwa wanajiongelea tu kama hawana magego.Yaani hawana akili mwili mzima!Simu ina 4 wheel drive, inaenda off road gani?