Ukisikia Mfumo wa Biashara Unao jiendesha …Hii ndio Manaa Yake.

Ukisikia Mfumo wa Biashara Unao jiendesha …Hii ndio Manaa Yake.

Barakha John

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
49
Reaction score
163
Utaeikia ili ufanikiwe kwenye biashara unahitaji Mfumo …! Ambao hauuhitaji uwepo wako asilimia 100 uwepo kwenye biashara .

Utasikia motivation Speaker wanaongea ….

………Wafanya biashara wakubwa huongelea

Business coach wanashauri .

Kinacho washangaza watu ni kuwa hawasemi Exactly ni mfumo gani huo, upoje , unafanania vipi unaundwaje ?

Na leo nimeamua kufafanua jambo hili … utajua ni mfumo gani unao ongelewa na unawezaje kufanya kazi kwenyw biashara yako .

Twende kazi ….

Habari … naitwa Baraka wengi hupenda kuniita Mr. kidigitali ….

Mwaka 2021 nilianza biashara ya kuuza simu na Laptop , kariakoo ila mara nyingi changamoto ya kumanage stock na kupangilia matumizi ya duka na kila kitu kuhusu biashara vilikuwa vinanishindwa kwa sabsbu sijasomea maswala ya bishara .

Chuo nilisoma maswala ya Branding , Marketing na Advertising katika chuo kikuu cha Dar es salaam .

….. nikawa nawaza nifanyaje ili niweze kurahisisha kazi zangu .

By the way kama unahitaji Simu Na laptop Original nicheki +255 757468193

Tupo kariakoo , Aggrey na msimbazi….. tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii tunatumia @simukidigitali

Sasa ndipo nikaanza kufanya management ya kitu kimoja kimoja kwenye biashara …

Yaani , toka mzigo unanunuliwa kwa supplier , Faida nawekaje na pesa inayopatikana sh ngapi naunulia mzigo na faida nachukuaje na naongeza vipi mtaji , content nafanyaje na wateja nawafikiaje na plan ya mwaka mzima wa biashara .

….. hivyo mfumo unao zungumziwa hapa ni mpangilio wa biashara yako katika kila nyanja .

To Break Down ….!

Ili utengeneze mfumo ni lasima kwanza uijue biashara yako vizuri .

Yaani , ujue supplier wako ni nani ? Anakuuziaje mzigo …

….. katika kila bidhaa unayo iuza unapata faida kiasi gani ?

Katika hiyo faida , unaangalia cost za uendeshaji

Yaani usafiri , Matumizi ya duka na mishahara , gharama za marketing nk.

Pia lazima ujue , katika hiyo faida unachukua kiasi gani kwa ajili ya matumizi yako na sh ngapi inaongeza msingi na Hela ya emergency kwa ajili ya biashara ni kiasi gani .

Baada ya kujua vitu vyote hivyo kuhusu biashara yako ndipo utajua uajiri watu wa aina gani na kila mmoja anafanya majukumu gani .

…… Kama hauna Elimu kuhusu biashara ajiri Cashier ambeye yeye kazi yake ni kukokotoa juu ya mahesabu yote na kukuoa ripoti ya siku au wiki au Mwezi .

Hii itakusaidia kujua umeuza kiasi gani , umetengeneza faida kiasi gani na matumizi kiasi gani na nani anapewa pesa kwa ajili ya manunuzi ya bidhaa mpya .

Huo ndio mfumo unao jiendesha wa biashara …

Changamoto iliyopo …

Wamiliki wengi wa biashara hawana elimu ya kutosha ya ku apply basic knowledge kama hizi na pengine wanakosa mtu sahihi wa kuongoza biashara zao

Hii inapelekea biashara kufa mapema maana unaweza kuona umeuza sana na ukaanza kutumia pesa inayopatikana na mwisho wa siku mbaka mtaji utapotea .

Lakini kama utakuwa na mfumo sahihi hata ukipoteza pesa / hasara itajulikana imetokea wapi ili siku nyingine uwe makini napo .

Hivyo …. Usitishike na kujiuliza mfumo , wa biashara ni upi sasa hapo itategemea na biashara yako utajua uujenge vipi .

Kama unahitaji Laptop za kisasa na Simu original usisite kutupigia ,…. +255 757468193

Unaweza kujiunga na group letu la WhatsApp ukitucheki kwa hiyo namba pia ukatufutailia kupitia kwenye mitandao yetu ya kijamii

Tunatumia …… @simukidigitali

Tupo kariakoo , Aggrey na Msimbazi

Here we gooo!
 
Back
Top Bottom