GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Machale yalitucheza sana.Katika sehemu cdm walicheza heko ni kugoma kuungana na huyo Lowassa wa Lindi. Mpinzani wa kweli ni Seif na Wapemba wenzake, huyo Zito ni mpinzani wa kuwa naye makini, yaani ukiamua kujiunga naye sawa na kujilipua.
Jamaa kazidiwa mpaka kaamua kumuangukia Mzee Makamba amsaidie..... Na Makamba kwa ajili ya ndoto za mtoto wake kuukwaa Urais ameamua kujishusha na kuja kubwabwaja ....!!Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.
Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Jibu mbona hujaliweka hapo?!Je,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Aisee isiwe ni stone tafadhali....hata halftime bado then anaomba sub?π€£Weji.
Labda katumwa na Zitto kwa kazi maalum si unajua bwana yule ni mshauri wa chamaMembe kaonekana Airport akitoroka
Tundu Lisu alipumzika siku 2 magufuli amepumzika siku ya pili, membe ameenda kupumzika uarabuni, rungwe ndi sijui sasa tuzungumzie wite hao.Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.
Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Hali ngumu kaenda kwa waganga wake Chato.Wengine 'naturally' tu tuna 'Talents' nyingi na tuko 'very extra ordinary' ambapo ukitufungia 'Milango' yote bado tu tutajua 'njia' zingine za Kuingilia.
Kwamba kampisha kikwete amalize kule kusini wasigongane,Je,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Yaani Magufuli kawajengea barabara za lami kila kijiji halafu mwisho wa siku mnataka kumchinjia baharani.Je,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Ilikuwaje siku ya ufunguzi wa kampeni Dodoma Magufulilo alishindwa kumpa hata dakika 2 Rais Mstaafu kikwete aongee na wananchi.Hali ngumu kaenda kwa waganga wake Chato.
2015 siku ya kufungua kampeni za ccm Dar ilinyesha mvua japo haikuwa kubwa.
Siku ya kufunga kampeni Mwanza ilinyesha mvua pia japo haikuwa kubwa.
Wasukuma wakiwa kwenye jambo lolote likitanguliwa na mvua huwa ni kiashiria cha baraka.
Na waganga wa kisukuma kwenye vita wanatumia mvua kupima hali itakuwaje mbeleni ikinyesha mvua wanakwambia njia ni nyeupe.
This time Dodoma jua lilikuwa kali na upepo wavumbi kibaya zaidi mkutano mzima haukuwa na furaha na mwenyewe hakuwa na furaha.
Kuna kiashiria hakiko sawa kwenye kampeni za mzee baba lazima kaenda kupima njia.
Wanasiasa na uchawi huwezi kuwatenganisha.
Nakupa assignment ndogo tu.
Ukienda chato jaribu kuvizia saa kumi na mbili asubuhi kwenye kisima kisichokauka maji utakuta wanachota maji kwenye kibuyu yatakuwa yanaenda chato, ukienda nyumbani pale utakuta maziwa na unga wa mtama asubuhi.
Huu ndiyo muda wa waganga kuwaamrisha wanasiasa na wanasiasa wanatii
Kumbe na wewe unajiweka katika kundi lile. Pole sana na kwaheri ila tutakukumbukaJe,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Hata mimi sijui this time wanajipigania wenyewe tu.Ilikuwaje siku ya ufunguzi wa kampeni Dodoma Magufulilo alishindwa kumpa hata dakika 2 Rais Mstaafu kikwete aongee na wananchi.
Ukizidisha kuwa Mr I Know It all inakuwa shida na shida anaipata Magufulilo
Ni mpuuzi kama akina Salary SlipKama kawaida yake mleta mada unafiki kwako kwa sasa ndicho kilichobakia