Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Katika sehemu cdm walicheza heko ni kugoma kuungana na huyo Lowassa wa Lindi. Mpinzani wa kweli ni Seif na Wapemba wenzake, huyo Zito ni mpinzani wa kuwa naye makini, yaani ukiamua kujiunga naye sawa na kujilipua.
Machale yalitucheza sana.
 
Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.

Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Jamaa kazidiwa mpaka kaamua kumuangukia Mzee Makamba amsaidie..... Na Makamba kwa ajili ya ndoto za mtoto wake kuukwaa Urais ameamua kujishusha na kuja kubwabwaja ....!!
 
Je,

1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?

Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Jibu mbona hujaliweka hapo?!
Ni kwamba kapigwa kipapai anaona ruweruwe.
By the way unamzungunzia kiongozi mkuu wa Mozambique au?!
 
Ule wa mwanzo sijui ni kwanini ulifutwa! Nahisi una taarifa fulani kuhusu Bwana yule.

Anyway, tupate ratiba yake tuone kama inaongelea kuwa na mapumziko(break) kipindi hiki.
Tundu Lisu alipumzika siku 2 magufuli amepumzika siku ya pili, membe ameenda kupumzika uarabuni, rungwe ndi sijui sasa tuzungumzie wite hao.
Lakini Kumbuka Magufuli 2015 alifanya kampeni then akapumzika kama siku moja au mbili hivi, kwa hiyo ni kawaida yake na sio jambo geni.
 
Wengine 'naturally' tu tuna 'Talents' nyingi na tuko 'very extra ordinary' ambapo ukitufungia 'Milango' yote bado tu tutajua 'njia' zingine za Kuingilia.
Hali ngumu kaenda kwa waganga wake Chato.

2015 siku ya kufungua kampeni za ccm Dar ilinyesha mvua japo haikuwa kubwa.

Siku ya kufunga kampeni Mwanza ilinyesha mvua pia japo haikuwa kubwa.

Wasukuma wakiwa kwenye jambo lolote likitanguliwa na mvua huwa ni kiashiria cha baraka.

Na waganga wa kisukuma kwenye vita wanatumia mvua kupima hali itakuwaje mbeleni ikinyesha mvua wanakwambia njia ni nyeupe.

This time Dodoma jua lilikuwa kali na upepo wavumbi kibaya zaidi mkutano mzima haukuwa na furaha na mwenyewe hakuwa na furaha.

Kuna kiashiria hakiko sawa kwenye kampeni za mzee baba lazima kaenda kupima njia.

Wanasiasa na uchawi huwezi kuwatenganisha.

Nakupa assignment ndogo tu.
Ukienda chato jaribu kuvizia saa kumi na mbili asubuhi kwenye kisima kisichokauka maji utakuta wanachota maji kwenye kibuyu yatakuwa yanaenda chato, ukienda nyumbani pale utakuta maziwa na unga wa mtama asubuhi.

Huu ndiyo muda wa waganga kuwaamrisha wanasiasa na wanasiasa wanatii
 
Je,

1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?

Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Kwamba kampisha kikwete amalize kule kusini wasigongane,
 
Yaani Magufuli kawajengea barabara za lami kila kijiji halafu mwisho wa siku mnataka kumchinjia baharani.

Kwa hali ya kawaida kama binadamu lazima awe na panick plus hasira mbonyeo zisizo na kikomo.

Namnukuu bwana Magufuli,

"Msimchague mgombea wa upinzani hata kama anafaa."

Hiyo ni kauli ya mtu mwenye chuki mpauko.

Namnukuu tena

"Mkichagua wapinzani mnaniudhi"

Hiyo ni kauli muwasho mkunjufu.

Ccm oyeeeeeee
Chama twawala oyeeeeeeee
 
Hali ngumu kaenda kwa waganga wake Chato.

2015 siku ya kufungua kampeni za ccm Dar ilinyesha mvua japo haikuwa kubwa.

Siku ya kufunga kampeni Mwanza ilinyesha mvua pia japo haikuwa kubwa.

Wasukuma wakiwa kwenye jambo lolote likitanguliwa na mvua huwa ni kiashiria cha baraka.

Na waganga wa kisukuma kwenye vita wanatumia mvua kupima hali itakuwaje mbeleni ikinyesha mvua wanakwambia njia ni nyeupe.

This time Dodoma jua lilikuwa kali na upepo wavumbi kibaya zaidi mkutano mzima haukuwa na furaha na mwenyewe hakuwa na furaha.

Kuna kiashiria hakiko sawa kwenye kampeni za mzee baba lazima kaenda kupima njia.

Wanasiasa na uchawi huwezi kuwatenganisha.

Nakupa assignment ndogo tu.
Ukienda chato jaribu kuvizia saa kumi na mbili asubuhi kwenye kisima kisichokauka maji utakuta wanachota maji kwenye kibuyu yatakuwa yanaenda chato, ukienda nyumbani pale utakuta maziwa na unga wa mtama asubuhi.

Huu ndiyo muda wa waganga kuwaamrisha wanasiasa na wanasiasa wanatii
Ilikuwaje siku ya ufunguzi wa kampeni Dodoma Magufulilo alishindwa kumpa hata dakika 2 Rais Mstaafu kikwete aongee na wananchi.

Ukizidisha kuwa Mr I Know It all inakuwa shida na shida anaipata Magufulilo
 
Je,

1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?

Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
Kumbe na wewe unajiweka katika kundi lile. Pole sana na kwaheri ila tutakukumbuka
 
Amka wewe acha kuota ndoto hizo utajinyea kitandani bure. 😜😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom