Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.
lazima ufanye mapitio na mapumziko,kampeni ni mikakati
hata lissu alipumzika bada kutoka zanzibar kaanza tena jana
Membe anaenda zake kupumzika ulaya baada ya kampeni nzito iliovuta nyomi za watu
 
Kuna jambo tusilolijua
Mungu atuepushe
Uarabuni kupumzika Mgombea wa chama cha mlango fulani
Mlango huu unahitajika kufungwa kiduuuchu
Something is not right somewhere!
Lissu kaza mwendo
cdm mliona mbali
Upinzani bado safari ni ndefu
Ruzuku inauza utu haki pengine amani ya baadhi
 
Huyo mshindani wake mkuu ni yupi?Ni yule baba mwenye nyumba alieyumba?
 
Nimekutana nae jana uwanja wa ndege jana. Me narudi bongo ye anaondoka.
Binadamu sio watu wazuri, wamemdanganya mzee wa watu now kahaibika. Yaani hata mzee wa ubwabwa anakubalika kuliko yeye.šŸ˜‚šŸ˜‚
Retreat? No. Its a political strategy.
 
Huyu mtu mnamvyofikiria nyinyi tofauti na anavyoonekana Mbele ya MUNGU ni tofauti na nyinyi wanadamu mnavyomuona.
 
Subirini mtaona.
 
Unayemlenga halengeki, umekwepesha ila tumeelewa, sio yule aliyeenda kwa anga bali yule anayekimbia aridhini.
 
Mapumziko hata kama pamabano lishaanza ni muhimu, tuwe na subira!!

Ndiyo maana hata kwenye ndondi kuna dk 3 za mpumziko kila mwisho wa round.
 
Huyo kafata hela za kampeni , tunamumulika kisawa Sawa akizileta tunazipiga pini šŸ˜‚
Kama ni kweli kaenda nje kufata huo "mzigo" na kama hajui nini itakua hatima ya huo "mzigo" pindi utakapoingia Bongo basi hafai wala hastahili japo kuitwa afisa kificho bobezi
 
Katika sehemu cdm walicheza heko ni kugoma kuungana na huyo Lowassa wa Lindi. Mpinzani wa kweli ni Seif na Wapemba wenzake, huyo Zito ni mpinzani wa kuwa naye makini, yaani ukiamua kujiunga naye sawa na kujilipua.
Mkuu tindo ebu tumia jicho lako la tatu kutambua athali za Membe kukacha kampeni (kama ni kweli) kwa wagombea wa upinzani. Yawezekana hata Lissu akishindwa, atawaingiza WaTz wasio na kosa barabarani wakati yeye, huyooo Ughaibuni.

USALITI HAUJAMWACHA MTU SALAMA.
 
Mimi Nikulipe mshahara,posho,nyumba,mafuta ya gari na bado umtangaze mpinzani ni mshindi?hiiiiiiiiiƬiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…