Uchaguzi 2020 Ukisikia Mgombea Urais 'kalazimika' kuchukua 'Likizo' ya ghafla kuendelea na 'Kampeni' zake unahisi 'kakumbwa' na nini kati ya yafuatayo?

Soma ratiba ya tume inaonyesha JPM atakuwa off hadi tarehe 14/9 kweli Chadema majanga matupu, yaani hata ratiba ya tume hamnayo.Peoplessdsdddd
Mimi sio Chadema. Ni mwanachama wa CCM
 
Katika sehemu cdm walicheza heko ni kugoma kuungana na huyo Lowassa wa Lindi. Mpinzani wa kweli ni Seif na Wapemba wenzake, huyo Zito ni mpinzani wa kuwa naye makini, yaani ukiamua kujiunga naye sawa na kujilipua.
😃😃
 

Aisee! Namba tano. Nazani kuna jamaa kibao walitumwa Belgium huko nyuma, na kwa ulafi wao hawakuona the other side of the same coin. Lets see what unfolds. They should not have missed!
 
Mkuu anakwenda Gamboshi kupata maelekezo zaidi ya wazee wa kimila. This is a sign of Low Battery Charge.

Maendeleo hayana chama.
 
Kama watanzania hata kujua na kufuatilia tu ratiba ya kampeni Za vyama vyao Hawawezi basi ni kweli elimu yetu inahitaji kuangaliwa upya.
Tunaendelea kuwa taifa la raia wenye majungu na umbea wa kuzidi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Nitafurahi nikisikia aliyeenda likizo fupi sasa yuko ICU ile pacemaker imegoma kufanya kazi.
 
Hahaaaa
 
Meko yupo chimbo anapiga tunguli ndio aanze zunguka tz maana anajua watesi wake wapo kwaiyo lazima achungulie keanza
 
8.Ni mgonjwa ameshauriwa na Dkt apumzike (hawezi ongea mfufulizo bila sauti kuziba na alivyopigwa na moshi Ruangwa akapata katatizo ka moyo ) mtu masaa 8 alizima sio mchezo.
Mtu akiongea kila saa anakohoa kohoa hovyo hovyo ...mbaazi zimegoma ngozi haishiki mafuta .
 
Unajitahidi sana kufuata nyao za mgombea wako. Hongera sana. Je, huoni ndiyo nafasi ya mgombea wako kutumia nafasi hiyo kukonga nyoyo za wapiga kura?

Wakati huo huo nasi tusioweza kuhudhuria kampeni zake tuwekee Ilani ya Chama humu tujadili Sera kama zina mashiko ya kuleta mabadiliko. Lakini, naamini huna na ndiyo maana wewe na wenzio mnashabikia matukio na kuwasema vibaya wagombea wengine.
 
Swali; Kama mgombea wa kiti Cha urais akifariki kabla ya uchaguzi katiba inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…