GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je,
1. Pumzi yake imeshakata mapema na sasa Pumzi pekee tu iliyobakia ni ya Hasira ( Jazba ) na kutoa Maneno ya Kashfa na Ajabu?
2. Mpaka hapo alipofikia kufanya Kampeni zake ameshaona kuwa ameshinda kutokana na Nyomi alilokuwa akiliona kote alikopita?
3. Anaona Waganga wa Kienyeji waliompa Ndumba za Kimvuto wamekosea na sasa ndiyo anachukiwa tu zaidi?
4. Anataka kuwaita wale waliomdanganya kwa Kumuaminisha kuwa anakubalika ili awachape Viboko na ikibidi hata awapige Ngumi?
5. Ameshagundua kuwa anaenda Kushindwa hivyo anataka kufanya Mazungumzo ya Kisirisiri na Adui yake waunde Serikali Moja?
6. Anataka Kurudi kwa Mizimu yake ya Mababu na Mabibi akawambe Radhi kwani anaona Maji sasa yanazidi kabisa Unga?
7. Anataka Kuigilizia ( kupiga Chabo ) Kampeni za Wenzake hasa Mshindani wake Mkuu ili aje na Mkakati mpya Kumpiku Kisiasa?
Karibuni katika kutoa Majibu yenu sahihi tafadhali.