Ukisikia mshike mshike nguo chanike ndio hii



Kuna tetesi kuwa dada huyu naye atateuliwa na mhishimiwa rahisi kwenda kuwapoza wabunge wa upinzani wanaoizodoa sirikali
 
Baada ya kazi.....................................
 
Jamani nini maana ya hawa wote kuvaa vikuku (chaini miguuni)?
 
<!-- google_ad_section_start -->
Originally Posted by omuka

Jamani nini maana ya hawa wote kuvaa vikuku (chaini miguuni)?



Mkuu kikuku mbona mie sikioni au wewe una electronic lens machoni nini?<!-- google_ad_section_end -->

Kama hukijui hata ukivaa lens huwezi ona
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::yield::yield::yield::yield::yield: NO coment{WABUNGE NDOA LAZMA ZIVUNJIKE}
 
Duh! Hata ningekua bungeni halafu nakutana na mrembo kama huyu lazima ninunue rada kwa mabilioni ya shilingi ili nitumie nae
 
Sio tu kikuku, vikuku. Mbona vinaonekana vizuri
 
Raha ya fish kumgeuza vikuku urembo, tigo...mtandao ...vitu viko wazi maswali ya nini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…