Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto

Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..

Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

miss%2Bbantu.jpg
 
View attachment 808136
Huyo mdada aliyeko pembeni naona anatathmini mzigo au?
 
Ukiangalia vizuri hiyo picha...
Kuanzia kwenye mgongo kushuka chini mpaka karibia na nguo ilipoishia utaona kuna godoro limevaliwa...

Cc: mahondaw
 
Shemeji iyo mikunjo ya nguo tuuu trust mi hata mim sikuamin kama wew ila nipo papasa nikasema

Izi ndio neema za Allah
 
kama ukiowa mwanamke wa namna hiyo,sawa na kujitoa muhanga tu.hauto kula peke yako sikufichi.labda umfungie ndani watu wasimuone.dhahama hiyo.
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
 
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto

Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..

Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

View attachment 808136

Jamani, huyu si ni mahondaw au nimeaangalia vibaya? Ngoja nimuite ageuke nimuone vizuri.
 
Back
Top Bottom