Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha nadhani huyo dada atakuwa ajuza sahv, ya kitambooooUkisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto
Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..
Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
View attachment 808136
akivua huyo unaweza mkimbia kama huna uzoefu na iyo minyamanyamaUkisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto
Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..
Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
View attachment 808136
tatizo akilizetu tunazijua wenyewe.mwanamme aliye kamilika akiuwona mzigo kama huwo lazima mate yatamtoka.sio wote watakaokubali kula kwa macho, wapo watakao mtongoza unafikiri nini kinafuata.sasa hapo akili kichwani mwake akiwa popoma ndo hapo mnakula wengi au akiwa kama wewe ndo hapo kumshukuru mungu.kumiliki zigo kama hilo linaitaji roho ngumu.Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Mkuu mimi naamini na najiamini. Ndiposa nitakapo penzi lako la dhati unipe mimi ili uone ninavyojiamini niwapo nawe.Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Kwa kweli mimi mbaya.Mkuu mimi naamini na najiamini. Ndiposa nitakapo penzi lako la dhati unipe mimi ili uone ninavyojiamini niwapo nawe.
NB mkaribie au mzidi huyo hapo pichani.
Hujiamini kuwa unaweza kuwa na Handsome kama mimi na nisikusaliti?Kwa kweli mimi mbaya.
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Sio siri yuko vizuri...kama una namba zake nitumie mkuu..😀😀😀Ana miguu mizuri sana
Hahahaaa we mwenyewe unajua kuwa ulichoandika ni impossible kutokea, mwanamke mzuri bila hela akideka tu unammwagia mapelese, sasa na uzuri wake hata uber hawez kupanda, hata kale kapizza ka kwenye tangazo pale darajani hawez kukamudu afu atokee mjamaa anajiweza vizuri sana unadhan atasema sitaki am taken, come on, mwanamke mzuri anaumbwa aishi kwa uzuri wake so haiwezekani, mfano sahihi mcheki Shangazi yetu Jackline Mengi na Mr Mengi, perfect coupleKwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Ila ukitaka kujua km mzuri au lah ngoja apungue uone hiyo ngozi itakavyorudi anakua km ngozi ya kiboko, utamkimbiaAna miguu mizuri sana
Huyu demu si ndiyo Nsia Swai aliyewahi kutrend kipindi yupo St. Augustine 2009 kwa picha za uchi?Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto
Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..
Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
View attachment 808136