Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto

Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..

Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

View attachment 808136
Hii picha nadhani huyo dada atakuwa ajuza sahv, ya kitamboooo
 
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto

Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..

Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

View attachment 808136
akivua huyo unaweza mkimbia kama huna uzoefu na iyo minyamanyama
 
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
tatizo akilizetu tunazijua wenyewe.mwanamme aliye kamilika akiuwona mzigo kama huwo lazima mate yatamtoka.sio wote watakaokubali kula kwa macho, wapo watakao mtongoza unafikiri nini kinafuata.sasa hapo akili kichwani mwake akiwa popoma ndo hapo mnakula wengi au akiwa kama wewe ndo hapo kumshukuru mungu.kumiliki zigo kama hilo linaitaji roho ngumu.
 
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Mkuu mimi naamini na najiamini. Ndiposa nitakapo penzi lako la dhati unipe mimi ili uone ninavyojiamini niwapo nawe.

NB mkaribie au mzidi huyo hapo pichani.
 
Mkuu mimi naamini na najiamini. Ndiposa nitakapo penzi lako la dhati unipe mimi ili uone ninavyojiamini niwapo nawe.

NB mkaribie au mzidi huyo hapo pichani.
Kwa kweli mimi mbaya.
 
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangaza
Hahahaaa we mwenyewe unajua kuwa ulichoandika ni impossible kutokea, mwanamke mzuri bila hela akideka tu unammwagia mapelese, sasa na uzuri wake hata uber hawez kupanda, hata kale kapizza ka kwenye tangazo pale darajani hawez kukamudu afu atokee mjamaa anajiweza vizuri sana unadhan atasema sitaki am taken, come on, mwanamke mzuri anaumbwa aishi kwa uzuri wake so haiwezekani, mfano sahihi mcheki Shangazi yetu Jackline Mengi na Mr Mengi, perfect couple
 
Kuna kipindi kuna mdada mmoja nyumban kwetu alikua mnene km huyo mdada hapo kwa uzi, ila alikuja kupungua hadi mi nlikua namkimbia naona ananitisha, ila zamani nlikua namkimbilia anavutiaa
 
Wanawake wa hivi wabakie kuwa Starehe ya Mwanaume.. Hawafai Kuolewa!
 
Ana makasoro kiroba kizima. Kwanza mwangalie anavyotoa mimacho kuangalia hayo marojorojo yaliyo kwa display. Yaani anatamani laiti angelikuwa nyoma ya counter ili ale vyote vilivyowekwa hapo. Je ingelikuwa ndio yeye mpishi ingekuwaje. Cake ngapi zingeliharibika ili azile yeye??
Chunga sana hilo limwili. Kulilisha kazi sana. Siyapendi ma fusso. Mwanamke umpakate ndio raha
 
Mi wa ivi hata hanisumbui akili mana n wachache sana watakao kua plain na bado azd kukutoa mate..wengi n wazuri wakivaa nguo ukilikuta lipo Plain na michirizi ka daftari la mwandiko hamu zote znakata.
 
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)

Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto

Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..

Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.

View attachment 808136
Huyu demu si ndiyo Nsia Swai aliyewahi kutrend kipindi yupo St. Augustine 2009 kwa picha za uchi?
 
Back
Top Bottom