Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
😀😀😀Urogwe uoe mwanamke wa hivi halafu awe anafanya Kazi ofisi ya bunge[emoji23] [emoji23]
Huyo mdada aliyeko pembeni naona anatathmini mzigo au?Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto
Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..
Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
View attachment 808136
Mshikaji wangu umeona mbali sana ah ah ahHuyo mwanamke wa nyuma ya hiyo fuso anapitia wakati mgumu
Yataka moyo kiukweriikama ukiowa mwanamke wa namna hiyo,sawa na kujitoa muhanga tu.hauto kula peke yako sikufichi.labda umfungie ndani watu wasimuone.dhahama hiyo.
Huu mzigo uliula mkuuShemeji iyo mikunjo ya nguo tuuu trust mi hata mim sikuamin kama wew ila nipo papasa nikasema
Izi ndio neema za Allah
Kwanini baadhi ya wanaume hamjiamini kuwa mnaweza kumiliki mwanamke mzuri na asikusaliti? Wengi wenu huwa ni waoga. Mnanishangazakama ukiowa mwanamke wa namna hiyo,sawa na kujitoa muhanga tu.hauto kula peke yako sikufichi.labda umfungie ndani watu wasimuone.dhahama hiyo.
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto
Mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao..
Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
View attachment 808136