TANAPA
Govt Institution
- Jul 6, 2026
- 16
- 43
Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao.
Na jambo la kushangaza zaidi?
Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀
Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu utuambie kwenye comments wewe uliwahi kusikia nini kuhusu simba akiunguruma? 👇
#TANAPAFactZone #LionRoar #Wildlife #TANAPA