Kulikuwa na Bob ambaye alikuwa na nywele ndefu kama Bob marley, Bob jr ni mwanaye BobKwanini mlimuita simba bob junior
Ila wewe utakayekutana na Simba itakua hatari kuliko Simba ... I mean Simba unakutana nae wapi?Bora ukutane na simba kuliko askari wa tanapa
Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao.
Na jambo la kushangaza zaidi?
Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀
Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu utuambie kwenye comments wewe uliwahi kusikia nini kuhusu simba akiunguruma? 👇
View attachment 3673520
View attachment 3673521View attachment 3673523View attachment 3673526View attachment 3673527View attachment 3673530View attachment 3673532View attachment 3673533
#TANAPAFactZone #LionRoar #Wildlife #TANAPA
Katiba mpya kwanzaWengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao.
Na jambo la kushangaza zaidi?
Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀
Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu utuambie kwenye comments wewe uliwahi kusikia nini kuhusu simba akiunguruma? 👇
View attachment 3673520
View attachment 3673521View attachment 3673523View attachment 3673526View attachment 3673527View attachment 3673530View attachment 3673532View attachment 3673533
#TANAPAFactZone #LionRoar #Wildlife #TANAPA
Eti Babe unaonaje tukaenda Mikumi kuangalia simba 🦁 wakinguruma RRRAAAWWW? Hii itatusaidia kuyarejesha mahusiano yetu yaliyoko juu ya mawe.Sijakuelewa eti hili ulikuwa unataka. Tuende kumuona simba akiwa porini
Mi nataka sadaani , halafu zanzibarEti Babe unaonaje tukaenda Mikumi kuangalia simba 🦁 wakinguruma RRRAAAWWW? Hii itatusaidia kuyarejesha mahusiano yetu yaliyoko juu ya mawe.
Hii imeenda 🔥Mi nataka sadaani , halafu zanzibar