Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nimekutana na video nyingi sana zinazonyesha waChina nao wakio watengeneza maudhui ya mtandaoni kwa hapa bongo tena wanaongea kiswahili kabisa!
Yani kila sehemu wapo wao, maana ukienda kariakoo utawakuta wengine ni mawinga kabisa! Lakini kwenye miradi mikubwa ya serikali wapo wao
Sasa wachina wanataka kuondoka na taifa letu au?