Mafyangula JF-Expert Member Joined Jan 16, 2025 Posts 557 Reaction score 1,039 Mar 16, 2026 #1 Nimekutana na video nyingi sana zinazonyesha waChina nao wakio watengeneza maudhui ya mtandaoni kwa hapa bongo tena wanaongea kiswahili kabisa! Yani kila sehemu wapo wao, maana ukienda kariakoo utawakuta wengine ni mawinga kabisa! Lakini kwenye miradi mikubwa ya serikali wapo wao Sasa wachina wanataka kuondoka na taifa letu au? Your browser is not able to display this video.
Nimekutana na video nyingi sana zinazonyesha waChina nao wakio watengeneza maudhui ya mtandaoni kwa hapa bongo tena wanaongea kiswahili kabisa! Yani kila sehemu wapo wao, maana ukienda kariakoo utawakuta wengine ni mawinga kabisa! Lakini kwenye miradi mikubwa ya serikali wapo wao Sasa wachina wanataka kuondoka na taifa letu au? Your browser is not able to display this video.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,393 Mar 16, 2026 #2 Waache waje kutusaidia kuiongoza Nchi ngozi nyeusi imesha shindwa
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Mar 16, 2026 #3 Wazee wa fursa, wanakaba kote
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Mar 16, 2026 #4 Si mlishobokea ukomonisti mkamuona mmarekani shetani, ssasa mtaisoma namba mcTobby ngara23 Mbaga Jr
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Mar 16, 2026 #5 ELI COHEN said: Si mlishobokea ukomonisti mkamuona mmarekani shetani, ssasa mtaisoma namba mcTobby ngara23 Mbaga Jr Click to expand... Machina ana njaa atawauzia hadi maji ya kandoro
ELI COHEN said: Si mlishobokea ukomonisti mkamuona mmarekani shetani, ssasa mtaisoma namba mcTobby ngara23 Mbaga Jr Click to expand... Machina ana njaa atawauzia hadi maji ya kandoro
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Mar 17, 2026 #6 ngara23 said: Machina ana njaa atawauzia hadi maji ya kandoro Click to expand... yale maji yake kwa jina la mshangazi bado anatoa?
ngara23 said: Machina ana njaa atawauzia hadi maji ya kandoro Click to expand... yale maji yake kwa jina la mshangazi bado anatoa?
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Mar 17, 2026 #7 Nchi imefunguka. Tuishi nao tu binadamu wenzetu, kama wao wana jicho la kuona fursa zilipo nasi tuige. No strings attached
Nchi imefunguka. Tuishi nao tu binadamu wenzetu, kama wao wana jicho la kuona fursa zilipo nasi tuige. No strings attached
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Mar 17, 2026 #8 Hao jamaa,kwa jinsi wabongo walivyo lala tushukru tu ardhi ni mali ya serikali.