Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

Yaani mie mwenyewe huwa nacheka maana kutwa anatupia thread tena za mademu lakini zina uhalisia na mazingira halisi tunayoyaona hahahaha
Hata mi mwenyewe najishangaa,
yani najikuta nimeshaitupia tu bila kujijua
 
Kilichokutuma utoe bulungutu la pesa mbele ya demu ni nini?
 
Upo kwenye mashindano ya kuwa na thread nyingi mkuu...?
 


!
!
Duh....Pole sana mkuu. Ungemkata kelbu ya fasta.
 

ila kusema kweli kutoa pichu ambayo hujanunua kunapunguza mzuka kabisa aisee!
 
Siku ingine acha hiyo tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…