Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀 leta vitu sie tucheke tuongeze siku za kula ugaliHata mi mwenyewe najishangaa,
yani najikuta nimeshaitupia tu bila kujijua
Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu
tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa
bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka
ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa sauti
ya kumtoa nyoka shimoni;MDADA: Swiry, darling
baby unajua leo kumbe birthday yangu
Wee si umetoa kuonyesha unazo na matumizi ya kuzitumia huna... Soo ndio unatajiwa matumizi. Alafu achaa kelelee mwanamke ni pesa na matunzoo hata mkeo nyumbani bila matunzo na pesa atakudharau na kukunyima dudu piaa tena na kuambiwa embu niachee ukooo nivue chupi unajua gharama yake. Tumia pesa ikujengee heshimaaa. HASARA ROHO, PESA MAKARATASI
Ndio mjipangeeeila kusema kweli kutoa pichu ambayo hujanunua kunapunguza mzuka kabisa aisee!
kadri ninavyoongeza siku za kuishi kuna mambo siwezi au nayafanya kwa tabu sana.....kama hili la kutoa pichu ambayo sijainunua..kwakweli hapanaNdio mjipangeee
Mimi au wewe?Siku ingine acha hiyo tabia