Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

Wee si umetoa kuonyesha unazo na matumizi ya kuzitumia huna... Soo ndio unatajiwa matumizi. Alafu achaa kelelee mwanamke ni pesa na matunzoo hata mkeo nyumbani bila matunzo na pesa atakudharau na kukunyima dudu piaa tena na kuambiwa embu niachee ukooo nivue chupi unajua gharama yake. Tumia pesa ikujengee heshimaaa. HASARA ROHO, PESA MAKARATASI
Best love comment[emoji106] [emoji2]
 
Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu
tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa
bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka
ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa sauti
ya kumtoa nyoka shimoni;MDADA: Swiry, darling
baby unajua leo kumbe birthday yangu
ha ha haaaaaA
 
STUNTER Kama kawaida yako...unashusha mawe juu ya mawe mpaka uje ukae juu ya mawe.ukinyamaza wewe mawe yataongea...natamani siku nikuone mana ni hatari...nakumbuka ile ya mzee ampeleke binti showroom akachagua gari...akandika cheki akampa muuzaji wa magari..Weekend hiyo Bank zimefungwa..binti alinyoshwaaa usiku kucha.jtatu kafuata gari akaambiwa Yule mzee akaunt yake haina hata mia mbovu.....
 
Hahahaa... Hahaha kumbe bado unakumbuka???
 
Back
Top Bottom