Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

Ukisikia Wizi Wa Mademu Wa Mjini Ndio Kama Huyu

Jamani huu wizi 'live', nimekaa nae muda mrefu
tumekunywa sana, sasa nataka kulipa bili, nimetoa
bulungutu la noti nachagua zile zilizochoka choka
ndio nilipie, naona mkono uko shingoni, na kwa sauti
ya kumtoa nyoka shimoni;MDADA: Swiry, darling
baby unajua leo kumbe birthday yangu

Mkuu nyuzi zako za mahusiano mbna huwa unalalamika mno kama baraka da prince

Pole sana................
 
Back
Top Bottom