PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.

2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical mwezini, hili suala la viwanda hata ilani iliyopita ilikuwa ipo je hivyo viwanda vipo wapi ikiwa KP na ubunifu wake wanamnanga

Kama ipo nyingine weka hapa
 
Tena dar es salaam ilitakiwa iwe ni mamlaka ya jiji la Dar es salaam na halmashauri zote zilizopo kwenye mkoa wa dar zivunjwe ndio Iundwe hiyo mamlaka itakayosimamia mkoa mzima.

Halafu mamlaka hiyo iondolewe tamisemi na iundiwe wizara kabisa na ikiwezekana halmashauri za majiji zote ziitwe mamlaka za majiji
 
Back
Top Bottom