Ukisitaajabu ya mhadhiri wa UDOM utayaona ya shehe Mwaipopo

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa

Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!

Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
 
Kimsingi taifa linanuka uvundo,je nani atakuwa msafishaji wa uvundu huu?je ni aliye korokoroni ama bosi wa kizimkazi!
 
Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa

Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!

Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Shehe mwaipopo inabidi yeye ndiyo wampitie kama upepo na kuondoa maini ,figo na moyo wake kwa kumiliki MAGENGE YA WAHALIFU.
 
Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa

Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!

Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Shekhe alikuwa sahihi kikundi chake ni cha kizalendo kushughulikia wahalifu. Hata sisi watanzania wazalendo ule upumbavu wa tar 29 hatutauvumilia tena tutawashughulikia kabla jeshi halijafika. Umaskini wa kwenu usiye mzigo wa wasiohusika. Waliiba, kuchoma na kuharibu mali za watu, NEVER AGAIN hatutakubali ule uharamia.
 
Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa

Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!

Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Je!ulishaona manyigu yakiumana?namba niishie haoo
 
shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa
Huyu gaidi na kikundi chake cha magaidi atakuwa alitumwa na watawala ndiyo sababu yupo salama
 
Back
Top Bottom