Hawa wahadhiri kama kweli wameenda shule wagome kufundisha Tanzania nzima ili kushinikiza mwenzao aachiwe huru
AiseeHawa wahadhiri kama kweli wameenda shule wagome kufundisha Tanzania nzima ili kushinikiza mwenzao aachiwe huru
Kama wangefanya kweli angeachiwa maana wangepalarize mfumonwa elimu kote nchiniHao ni waoga kuliko wanafunzi wao.
Kimsingi taifa linanuka uvundo,je nani atakuwa msafishaji wa uvundu huu?je ni aliye korokoroni ama bosi wa kizimkazi!Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa
Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!
Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Wahadhiri wa kugoma hawapo hapa watu wenyewe wanasikikizia uteuzi?Hawa wahadhiri kama kweli wameenda shule wagome kufundisha Tanzania nzima ili kushinikiza mwenzao aachiwe huru
Hawa wahadhiri kama kweli wameenda shule wagome kufundisha Tanzania nzima ili kushinikiza mwenzao aachiwe huru
Shehe mwaipopo inabidi yeye ndiyo wampitie kama upepo na kuondoa maini ,figo na moyo wake kwa kumiliki MAGENGE YA WAHALIFU.Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa
Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!
Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Shekhe alikuwa sahihi kikundi chake ni cha kizalendo kushughulikia wahalifu. Hata sisi watanzania wazalendo ule upumbavu wa tar 29 hatutauvumilia tena tutawashughulikia kabla jeshi halijafika. Umaskini wa kwenu usiye mzigo wa wasiohusika. Waliiba, kuchoma na kuharibu mali za watu, NEVER AGAIN hatutakubali ule uharamia.Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa
Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!
Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Je!ulishaona manyigu yakiumana?namba niishie haooSerikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa
Ikaenda kumkamata na kumpa kesi ya ugaidi mhadhiri wa UDOM aliyeandika tu meseji kwenye mtandao wa kijamii kuhusu maandamano ambayo ni haki ya kikatiba!!
Huku ndiyo nchi imefikishwa ambako magaidi wanaachwa alafu wanaenda kubambikwa ugaidi wasio na ugaidi.
Huyu gaidi na kikundi chake cha magaidi atakuwa alitumwa na watawala ndiyo sababu yupo salamashehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa