Ukisoma hapa nitajua umri wako

Ukisoma hapa nitajua umri wako

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
5,814
Reaction score
8,118
Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani?

1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh?
2. Ni nini na ni wapi Garaganze?
Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s.
 
nimesurrender mi kweli wa 2000s maana vitu sijawahi visikia mkuu.dah
 
Ni lini na ni wapi garaganze?
Hiyo ilikuwa ni dora ya musri iliyoharibiwa na wabelgiji mwaka 1891 huko Afrika ya kati
 
Back
Top Bottom