Ukisoma PGM unaweza kusoma cozi ya Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering UDSM?

Don Philipson

Member
Joined
Jun 17, 2024
Posts
5
Reaction score
0
Habari wakuu
Kuna dogo kamaliza form six mwaka huu alikuwa anasoma PGM
Anatamani kusoma Hiyo coz pale UDSM inawezakana?
 
Mnachagua kozi ambazo hazina ajira yeyote au sababu ya kina? Wenzako walisoma ile kozi ya vipanga ya petroleum ni mwaka wa 6 sasa hakuna ajira labda uwe una connection msichague kozi JIna angalia je itakuwaje nikimalzA n.k
 
Sio wore wanasomea ajira kaka
Relax
 
Sio wore wanasomea ajira kaka
Relax
Sasa unasoma ili iweje? Nenda uwe politicians au bodaboda maskini kama wewe huwezi sema hausomei ajira kozi ulioichagua hiyo Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering wanasomea watu maskini haujafikia level ya kusema hausomei ajira wakati unategemea heslb ikupe mkopo kama Huna huna relax upewe muongozo na haujui kwanini iyo kozi ilianzishwa na ilianzishwa kwa sababu ya msukumo wa kisiasa sasa wewe jikite mjuaji endelea kijana wa 2000
 
Unachukulia watu poa kaka
Anyway tutakutanaga Inshallah 🙏
 
Back
Top Bottom