Ukistaajabu ya Kitenge usisahau ya Shaffih Dauda

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS

Haiwezekani umekalisha tu masaburi mahala kisa umepewa bahasha ya khaki na wakwepa kodi maarufu basi unajitungia ka story chako halafu unakapa jina la tetesi huku ukisemaa za ndanindani baadaye ndipo unampigia simu muhusika eti ukidai una balance story

wadau wakiwajia juu mnadai hizo za ndanindani huwa zinatoka hukohuko klabuni...huo ni ujinga hiyo inaitwa story concoction

Naona tu wengi wenu mmesahau kuna kipindi Shaffih Dauda alishawahi kukaa nyumbani kwake akawa bored akaicheza mechi ya simba vs green warriors kichwani kwake na mechi hiyo iliisha kwa simba kufungwa 2-0, INASIKITISHA SANA maana hiyo mechi haikuwepo na wala haikutarajiwa kuwepo eti baadaye akaja kuomba radhi kishkaji

Hao hao clouds miaka 3 iliyopita simba ikiwa camp south africa walishawahi kusema simba kafungwa goasl 7-0 mechi ya kirafiki ambayo pia haikuwahi kupigwa

Jiulize hivi hawa watu bado wanadai sisi tuwaheshimu? majitu yaliyoshindwa kujiheshimu? mtu kakaa kwake anatunga story, eti za kichinichini ni kwamba Mo anaondoka kisa watu wanamsema sana yaani kosa kubwa la MO ni mafanikio makubwa simba waliyoyapata kwa miaka 4 media zitamsulubu hadi simba iporomoke kabisa ndipo itakuwa furaha ya WACHA_MBUZI TAKATAKA

-
 
Asilimia kubwa ya wachambuzi ni vichwa maji sana ukiondoa hawa vijana ambao kwa sasa wanachipukia. Shafii na Kitenge ni miongoni mwa wanahabari wasio na aibu katika kile ambacho huwa wanakifanya.

Jana Shafii amewavaa Simba kupitia afisa habari wake baada ya kutoa taarifa ya Chama na Miquissone kutokuwa sehemu ya kikosi cha Simba baada ya kuuzwa. Shafii aliivaa idara ya habari ya Simba kushindwa kutoa taarifa za wachezaji hawa hasa wapoenda na ada za usajili wao.

Nilishangaa sana mtu mzima kama yule kuwa zwazwa kiasi kile, baadae Luis Miquissone kupitia wakala wake akaweka barua ya kuishukuru Simba na wala hakusema anaenda wapi, Shafii alipost barua hiyo kwenye page yake na wala hakumvaa wakala wa Miquissone kama alivyowavaa Simba kushindwa kutoa taarifa za wapi anaenda Miquissone.

Kitenge huyu hata bila kuzungumzia kila mtu anamjua namna alivyo na asiye na lolote kichwani kuhusu mpira tofauti na makelele yake redioni. Hiyo online Tv isikufanye utafute subscribers au viewers kwa habari za ajabu.

Mkapa alikuwa sahihi kukwambia "kijana tai yako nzuri, kaa chini" aliona ni mwandishi kilaza.
 
Wewe inaonyesha hujui lolote katika soka, Meneja wa mchezaji hana mamlaka ya kutangaza mchezaji mwenye mkataba hai tena Pande zote zinawajibika kutekeleza masharti ya mkataba bila tatizo alafu aseme mchezaji ameuzwa kwenda Klabu nyingine.

Wajibu wa kutangaza habari za mchezaji ni Klabu anayoitumikia, mchezaji ni Mali ya Klabu si Meneja. Simba walikua na wajibu wa kuwaeleza wanachama na mashabiki mapema Kama imeshauza wachezaji kwakua wao ndio wenye timu ndio waajiri. Viongoz wapo kuongoza tu.

Meneja ananguvu iwapo Kuna matatizo ya kimkataba au mchezaji yupo huru.
 
nilichopost wapi kinazungumzia mkataba wa mchezaji?
 
Simba iliweka kambi Uturuki mwaka fulani..

ni kweli ilifungwa bao saba na kikundi cha madereva taxi kule

haikua south africa
 
ni kweli kabisa hata ile mechi shaffih Dauda aliyoicheza kichwani kwake simba alifungwa 2-0 na green warriors na aliitumia clouds fm kutangaz matokeo ya mechi hiyo hewa cha ajabu akaenda kuomba msamaha tena kijeuri kwenye page ya insta kwa hiyo sishangai hayo usemayo
 
Simba iliweka kambi Uturuki mwaka fulani.. ni kweli ilifungwa bao saba na kikundi cha madereva taxi kule
haikua south africa

Kuna mechi Yanga aliwahi kufungwa 5-0

1629230909253.png
 
Siku hizi kazi kwelikweli kila mtu anataka awe wa kwanza kwa EXCLUSIVES mpaka wanasahau miiko ya kazi
Umezungumza kama mwana michezo si kishabiki. Haya mambo watu wakiweka Usimba na Uyanga watakuja umia baadaye. Ni kukemea kwa nguvu zote waandishi wawe na weledi
 
Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS

Haiwezekani umekalisha tu masaburi mahala kisa umepewa bahasha ya khaki na wakwepa kodi maarufu basi unajitungia ka story chako halafu unakapa jina la tetesi huku ukisemaa za ndanindani baadaye ndipo unampigia simu muhusika eti ukidai una balance story

wadau wakiwajia juu mnadai hizo za ndanindani huwa zinatoka hukohuko klabuni...huo ni ujinga hiyo inaitwa story concoction

Naona tu wengi wenu mmesahau kuna kipindi Shaffih Dauda alishawahi kukaa nyumbani kwake akawa bored akaicheza mechi ya simba vs green warriors kichwani kwake na mechi hiyo iliisha kwa simba kufungwa 2-0, INASIKITISHA SANA maana hiyo mechi haikuwepo na wala haikutarajiwa kuwepo eti baadaye akaja kuomba radhi kishkaji

Hao hao clouds miaka 3 iliyopita simba ikiwa camp south africa walishawahi kusema simba kafungwa goasl 7-0 mechi ya kirafiki ambayo pia haikuwahi kupigwa

Jiulize hivi hawa watu bado wanadai sisi tuwaheshimu? majitu yaliyoshindwa kujiheshimu? mtu kakaa kwake anatunga story, eti za kichinichini ni kwamba Mo anaondoka kisa watu wanamsema sana yaani kosa kubwa la MO ni mafanikio makubwa simba waliyoyapata kwa miaka 4 media zitamsulubu hadi simba iporomoke kabisa ndipo itakuwa furaha ya WACHA_MBUZI TAKATAKA

-
Dah!! Wewe jamaa una gubu!! Hivi familia yako inawezaje kuvumilia kuishi na kiumbe kama wewe! Kutwa nzima ni kulalamika tu.
 
Back
Top Bottom