njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS
Haiwezekani umekalisha tu masaburi mahala kisa umepewa bahasha ya khaki na wakwepa kodi maarufu basi unajitungia ka story chako halafu unakapa jina la tetesi huku ukisemaa za ndanindani baadaye ndipo unampigia simu muhusika eti ukidai una balance story
wadau wakiwajia juu mnadai hizo za ndanindani huwa zinatoka hukohuko klabuni...huo ni ujinga hiyo inaitwa story concoction
Naona tu wengi wenu mmesahau kuna kipindi Shaffih Dauda alishawahi kukaa nyumbani kwake akawa bored akaicheza mechi ya simba vs green warriors kichwani kwake na mechi hiyo iliisha kwa simba kufungwa 2-0, INASIKITISHA SANA maana hiyo mechi haikuwepo na wala haikutarajiwa kuwepo eti baadaye akaja kuomba radhi kishkaji
Hao hao clouds miaka 3 iliyopita simba ikiwa camp south africa walishawahi kusema simba kafungwa goasl 7-0 mechi ya kirafiki ambayo pia haikuwahi kupigwa
Jiulize hivi hawa watu bado wanadai sisi tuwaheshimu? majitu yaliyoshindwa kujiheshimu? mtu kakaa kwake anatunga story, eti za kichinichini ni kwamba Mo anaondoka kisa watu wanamsema sana yaani kosa kubwa la MO ni mafanikio makubwa simba waliyoyapata kwa miaka 4 media zitamsulubu hadi simba iporomoke kabisa ndipo itakuwa furaha ya WACHA_MBUZI TAKATAKA
-