Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

mbona wako wengi sana hao?

kuna wengine wanawekwa kinyumba kabisa

kuna mkaka alifumaniwa na wanawake 2, mmoja alimpa rav 4 ya kutumia, mwingine ndo aliyempangia nyumba na kulipa kodi!!!!
 
ila kumbe wananunulia kwa ajiri ya kuchapa. aaaaaaaaaa hapo sawa maana wanaume wachache siku hizi
 
Dah!! na kweli duani kuna mambo mmhh!
Sijui ndio maisha yamekuwa magumu!!!
 
wamesikia..ila ujue hizi tabia siyo za kiume! Mwanaume rijali hujiweza...hatakiwi kushinda saloon kutwa kukata nywele, kufanya scrub/facial na kuvaa tu.lazima afanye kazi. Ingekuwa "kaka poa" ingeeleweka!

hatutaki kupoteza "wanaume" kwa kuendekeza uvivu tu loh!shame!

kama wateja hawapo biashara itakufa hivyo hakuna bishara isiyokuwa na mteja.
 
kama wateja hawapo biashara itakufa hivyo hakuna bishara isiyokuwa na mteja.

heheheh... male prostitution -
ni kwamba wanaume hawa wanaukana uanaume wao? Wamechoka kuishi kama jamii inavyowategemea kwamba wawe watafutaji, wahongaji, .... baada ya hii what next kabla kiama hakijatukuta?
 
Nipe ushahidi Babu DC

Hebu walete tuwapime..Nitakuthibitishia kuwa miili yao inaendeshwa na oestrogen na siyo siyo ile nguvu ya kiume, testosterone!!

Babu DC!!
 
heheheh... male prostitution -
ni kwamba wanaume hawa wanaukana uanaume wao? Wamechoka kuishi kama jamii inavyowategemea kwamba wawe watafutaji, wahongaji, .... baada ya hii what next kabla kiama hakijatukuta?

Hawa wanaelekea kwenye extinction...Kwani hujui hatima ya simba aliyeshindwa kuwinda???

Babu DC
 
Back
Top Bottom