Wewe ni wakupuuza kama kangi lugolaTP mazembe sasa hivi haina fedha inaelekea kuwa timu ya daraja la kati
Huna ulijualo, sasa hiv TP mazembe haina fedha budget ya kununua wachezaji wenye viwango vya hali ya juu hawana Katumbi yuko yuko tu serikali ya Congo inamtafutia angle imsomeshe namba 5Wewe ni wakupuuza kama kangi lugola
Sawa secretary wa serikali ya CongoHuna ulijualo, sasa hiv TP mazembe haina fedha budget ya kununua wachezaji wenye viwango vya hali ya juu hawana Katumbi yuko yuko tu serikali ya Congo inamtafutia angle imsomeshe namba 5
Na msimu huu usishangae ikatoka group stages au robo fainali
Kichaa weweHuna ulijualo, sasa hiv TP mazembe haina fedha budget ya kununua wachezaji wenye viwango vya hali ya juu hawana Katumbi yuko yuko tu serikali ya Congo inamtafutia angle imsomeshe namba 5
Na msimu huu usishangae ikatoka group stages au robo fainali
Fresh mbea wa mwanagatiSawa secretary wa serikali ya Congo
Unaweza kuuthibitisha ukichaa wangu? Au kuna kingine unakitafuta fala weweKichaa wewe
Hahahaaa. Pole kwa kuteseka Mtani. .Kila la kheri kwake!!! Sisi tuna Deo kanda.
Wao yanga wana
View attachment 1154798
Sio Mimi ni maneno ya mchumbuzi wa soka wa EFM Oscar Oscar cc Shadeeya
Hahahaha mtani baniHahahaaa. Pole kwa kuteseka Mtani. .
We boya umeona Azam ilivyomfanya Mazembe?Kichaa wewe
Kumekucba uliniita secretary wa gavoo ya DRC kisa nimesema Mazembe hawana fedha umeona walivyoaibishwa na Azam?Sawa secretary wa serikali ya Congo
kweli wewe ni wa kupuuzwa kama mpuuzi...Huna ulijualo, sasa hiv TP mazembe haina fedha budget ya kununua wachezaji wenye viwango vya hali ya juu hawana Katumbi yuko yuko tu serikali ya Congo inamtafutia angle imsomeshe namba 5
Na msimu huu usishangae ikatoka group stages au robo fainali
TP mazembe sasa hivi haina fedha inaelekea kuwa timu ya daraja la kati