Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Source:
Azam Tv Dk 90
Jumatatu
Mtangazaji:
Ahmed Ally
Wachambuzi:
Abdul Mkeyenge
Charles Abel
Ally Kamwe
Mwenye bahati habahatishi!
Kila la heri Ramadhani Singano
Kama kawaida, Singano ataenda kucheza pembeni, kwa sasa Kalaba ndiye anaecheza pembeni pale TP na ana umri wa Miaka 33! Kalaba anasaidiwa na Abagana mwenye umri wa miaka 23! Obviously Rama anaandaliwa kumrithi Kalaba! Singano amesinya 5 years contract!