Ukistaajabu ya Musa... Singano to TP Mazembe dau la usajili ni tshs 115 m

Hajafilisika ila ana tatizo na serikali ya Congo hayuko salama kabisa hivyo uwekezaji wake mwingi anaupa nguvu nje ya nchi kuliko ilivyokuwa ndani
Alikuwa uhamishoni kwasababu za kisisa na utawala uliopita, hali haiko hivyo sasa, fuatilia siasa za Congo pia.
 
Ni kweli ila bila mafedha ndugu yangu utashindanaje na vilabu kama Mamelody,Zamalek,wydad,Al ahly ngumu sana juzi Zamalek wameweka billion tatu za tz kuitaji huduma ya Khama billiat juzi Mamelody wamemsajiri mshambuliaji wa Uruguay kwa pesa ndefu zaidi ya billion 4 tz na kuwapiku sporting Lisbon ya ureno sio swala dogo.
 
Alikuwa uhamishoni kwasababu za kisisa na utawala uliopita, hali haiko hivyo sasa, fuatilia siasa za Congo pia.
Nafuatilia mno, na hali bado ni tete kabila ni kama bado ni Rais wa DRC kinyumenyume
 
Mazembe mpaka kufikia mwaka juzi ilikuwa na utajiri wa $60 million za Trump

Nilishaeleza kabla kabisa kuwa yuko Congo ila yuko mguu nje mguu ndani anahofia usalama wake na wanaendeleza upinzani wa maandamano na wapinzani wenzake hii ni mbaya mno.

TP mazembe inauza wachezaji wa maana na kununua wachezaji wa daraja la kati ambao hata sio tishio kwa sababu mfuko hauruhusu na nikasema natarajia kuiona mazembe ikiwa timu ya daraja la kati na sio la juu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…